Habari

COUTINHO AWEKA REKODI MPYA LIVERPOOL

on

Philippe Coutinho amejitia kitanzi Liverpool kwa kusaini mkataba mpya wa muda mrefu ambao unamfanya avunje rekodi ya mishahara mikubwa ndani ya klabu hiyo.
Nyota huyo wa kimataifa wa Brazil ambaye amekuwa nguzo muhimu kwa kocha Jurgen Klopp, sasa atakapokea mshahara wa pauni 200,000 kwa wiki katika mkataba utakaomweka Anfield  hadi mwaka 2022.
Coutinho aliwasili Liverpool miaka minne iliyopita akitokea Inter Milan kabla ya kiwango chake kupanda kwa kasi na kuvutia macho ya vilabu vikubwa barani Ulaya ikiwemo Barcelona.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *