Habari

DAR MODERN YAZIDI KUNOGESHA USIKU WA JAMVI LA JIJI KILA IJUMAA

on

Kundi maarufu la muziki wa mwambao, Dar Modern Taarab, linaendelea
kutisha na show yao ya kila Ijumaa inayofahamika zaidi kama ‘Usiku wa Jamvi la
Jiji’.
Shoo hiyo hufanyika katika ukumbi wao wa nyumbani ambao nao unaitwa Dar
Modern, ulioko Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam, ambako mashabiki
wameonekana kumiminika kwa wingi kila wiki.

Msemaji wa Dar Modern, Adam Mlamali amewaomba mashabiki kuendelea
kuwasapoti kwa kuzidi kuhudhuria kwa wingi kwenye shoo hiyo ambayo hunogeshwa
na zawadi kemkem.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *