DAVID SILVA, SAMIR NASRI NAO WANUKIA CHINA... watajwa kwenda kuungana na kocha Pellegrini ndani ya Hebei Fortune

KIUNGO wa Manchester City, David Silva, 31 na Samir Nasri, 26, wanaweza kutimkia Ligi Kuu China kuungana na kocha wao wa zamani, Manuel Pellegrini kucheza klabu ya Hebei Fortune.

No comments