DEEPIKA PADUKONE AFICHUA AMECHEZA PICHA YA "X" NA VIN DIESEL

MWIGIZAJI mahiri nchini India, Deepika Padukone amefichua kuwa amecheza filamu chafu ya mapenzi (X), akishirikiana na mkali kutoka Hollywood, Vin Diesel.

Deepika amesema kuwa anaamini filamu hiyo itamuingizia kipato kikubwa na kulirudisha jina lake juu katika medani ya sinema nchini India.

“Nimeshiriki filamu mpya ya X na mmoja wa wakali wa filamu kutoka Hollywood, ambayo naamini ikitoka itanipaisha sana,” alisema.

No comments