EVERTON YARIDHIA MKATABA WA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI ISHAK BELFODIL WA STANDARD LIEGE

KLABU ya Everton imekubali mkataba wa kumsajili mshambuliaji mahiri kutoka Algeria, anayekipiga klabu ya Standard Liege ya Ubelgiji, Ishak Belfodil.


Mchezaji huyo mwenye miaka 24, anatarajiwa kuelekea Mersyside siku chache baada ya aliyekuwa mchezaji wa Manchester United, Morgan Schneiderlin kukamilisha uhamisho wakitanguliwa na mshambuliaji wa Charlton Athletic, Ademola Lookman.

No comments