GUARDIOLA KUMNG'OA MLINZI HOLGER BADSTUBER WA BAYERN KWA MKATABA WA MIEZI SITA

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, 45, huenda akamsajili mlinzi wa Ujerumani, Holger Badstuber kwa mkataba wa miezi sita kutoka klabu ya Bayern Munich.

No comments