Habari

HATIMAYE DIEGO COSTA ALIKOROGA KWA KOCHA ANTONIO CONTE

on

Mshambuliaji tegemeo wa Chelsea Diego Costa ameingia kwenye mgogoro na kocha wake Antonio Conte ambao unaweka hatma yake kwenye wingu zito.
Nyota huyo wa Hispania hajasafiri na kikosi cha Chelsea kinachokwenda kukabiliana na Leicester City kwenye mchezo wa Premier League kwa madai ya kuwa majeruhi hatua iliyomchukiza kocha Conte.
Costa analalamika kuwa na maumivu mguu ambayo yanaendana historia ya maumivu yake ya paja, lakini jopo la madaktari wa Chelsea halishawishiki na malalamiko ya Costa huku Conte akiungana nao mkono.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *