Habari

HATIMAYE MSHAMBULIAJI KINDA GABRIEL JESUS ATUA RASMI MANCHESTER CITY

on

BAADA ya mshambuliaji kinda wa
klabu ya Palmeiras ya Brazil, Gabriel Jesus kuiingizia klabu hiyo pauni mil 27
na kukaa msimu mzima, ameruhusiwa kutua rasmi Manchester City.

Jesus ametua City baada ya
kucheza kwa mkopo kwenye timu yake ya zamani akisubiri kutimiza sharti la
Shirikisho la la soka la Kimataifa FIFA la mchezaji kutocheza soka la kulipwa
nje ya nchi yake hadi atomize miaka 18. 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *