HULL CITY YAPIGA BEI MTAMBO WAO WA MABAO KWA PAUNI MIL 10

KLABU ya Hull City imeamua kumuuza mfungaji wao tegemeo raia wa Scotland, Robert Snodgrass mwenye miaka 29, kwa pauni mil 10.

No comments