IBINABO FIBERESIMA ALIA NA MASHOGA ZAKE KWA KUMVUNJIA NDOA

MWIGIZAJI mahiri wa kike wa Nollywood, Ibinabo Fiberesima amekiri kuvunjika kwa ndoa yake, lakini akiwatupia lawama marafiki zake.

Ibinabo aliyesherehekea siku yake ya kuzaliwa Januari 12, alisema anaumia sana kusherehekea siku yake ya kuzaliwa huku akifahamu kuwa mahusiano yake ya kinyumba yameingia doa.


Alisema, hajakaa awafurahie marafiki zake kwani wameshiriki kumshawishi mumewe hadi amempa talaka.

No comments