IBRAHIMOVIC: MANCHESTER UNITED BADO INA NAFASI YA KUTWAA UCHAMPIONI


STRAIKA Zlatan Ibrahimovic amesisitiza kuwa Manchester United inayojiandaa kuivaa Liverpool leo bado ina nafasi ya kutwaa ubingwa wa England.

No comments