INTER MILAN YAPOKEA OFA YA EURO MIL 50 KUTOKA CHINA KWA AJILI YA KIUNGO MARCELO BROZOVIC

KLABU ya Inter Milan ya Italia imepokea ofa ya euro mil 50 kwa ajili ya kumtoa kiungo wake Marcelo Brozovic anayetakiwa na klabu moja ya Ligi Kuu China.

No comments