JAMES RODRIGUEZ NAE MGUU NDANI MGUU NJE CHINA


MSHAMBULIAJI wa Real Madrid na Colombia, James Rodriguez, 25, anayewakilishwa na wakala Jorge Mendez, huenda nae akatimkia China kucheza klabu ya Tianjin Quanjian.

No comments