JB: AKILI YANGU YOTE SASA NI KWENYE TAMTHILIA YANGU YA "ILANI"

MKONGWE wa Bongomvi ambaye pia mkurugenzi ya Jerusalem Film, Jacob Steven "JB" amesema kuwa kwa sasa ameelekeza nguvu zake kwenye tamthilia mpya itwayo "Ilani" ambayo ataanza kuekoi mwezi ujao.

Alisema kua katika thamthilia hiyo ameshirikisha wasanii wengi chipukizi kwa lengo la kukuza vipaji yao na pia yumo msanii nyota toka Zambia aliyemtaja kwa jina la Cassie Kambita.


Alisema baada ya kutoa tamthilia hiyo ataachana na uigizaji na kubaki kuwa mtayarishaji na msambazaji wa kazi mbalimbali za wasanii kupitia kampuni yake hiyo.

No comments