JESE RODRIGUEZ: NIKO TAYARI NIKATWE MSHAHARA ILIMRADI NITUE LAS PALMAS

STRAIKA wa Paris Saint-Germain, Jese Rodriguez yuko tayari kukatwa mshahara ili aende kujiunga na klabu ya Ligi Kuu Hispania, Las Palmas.

No comments