JURGEN KLOPP ASHJAURIWA KUMNG'OA JESE RODRIGUEZ PARIS SAINT-GERMAIN

STEVE Nicol amesema kwamba ameitazama Liverpool na kugundua kwamba inahitaji mtu mmoja mkorofi.


Akihojiwa na gazeti la klabu hiyo la Liverpool Echo, Steve Nicol alisema kuwa anatoa ushauri kwa benchi la ufundi la Liverpool kumchukua mchezaji matata wa PSG, Jese Rodriguez ili alete ladha tofauti katika klabu hiyo.

No comments