KETE NYINGINE MPYA YA JAHAZI …”JICHO LA MUNGU HALILALI” KUTOKA KWA MOSSI SULEIMAN
Huu hapa ni wimbo mwingine mpya kabisa kutoka kwa Jahazi Modern Taarab, ngoma inakwenda kwa jina la “Jicho la Mungu Halilali”.

Wimbo umeimbwa na mwimbaji mzoefu Mossi Suleiman (pichani juu) ambaye amejiunga na kundi hilo miezi michache iliyopita.

Jahazi imeachia nyimbo mbili mpya “Nataka Jibu” ulioimbwa na Mwasiti Mbwana (Kitoronto) na huu “Jicho la Mungu Halilali”.

No comments