KINDA VINCENT JANSSEN WA TOTTENHAM AICHOMOLEA NJE GALATASARAY

MSHAMBULIAJI kinda Vincent Janssen mwenye miaka 22 ameitolea nje ofa ya kujiunga na klabu ya Galatasaray ya Uturuki akisema anataka kubaki kuchezea Tottenham.

No comments