KIPA SARVATORE SIRIGU WA PARIS SAINT-GERMAIN ANUKIA CHELSEA

KLABU ya Chelsea imekaa mguu sawa kumsajili nyanda wa Paris Saint-Germain, Salvatore Sirigu, 30, iwapo jaribio lao la kumsajili kipa wa Celtic, Craig Gordon, 34, litakwama.

No comments