Habari

KIPIGO CHA 4-0 KUTOKA KWA EVERTON CHAANDIKA HISTORIA MPYA KWA GUARDIOLA …asema ubingwa ndo basi tena

on

KOCHA wa Manchester City Pep Guardiola amekiri kuwa kipigo cha 4-0 kutoka kwa Everton kimekatisha matumaini yake ya kutwaa taji la Premier League.
Guardiola amebainisha kuwa pengo la pointi 10 kati ya City na Chelsea inayoongoza ligi ni mlima mrefu kuupanda.
Aidha kocha huyo amesema hiki ni kipigo cha kwanza kikubwa kukipata kwenye za nyumbani akiwa kama kocha.
“Hii ni mara ya kwanza, sijawahi kupokea kipigo kizito namna hii, haijawahi kutokea hapo kabla na nitahitaji kujua ni kwanini,” alisema Guardiola.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *