KIUNGO WA BORUSSIA MONCHENGLADBACH AGOMBEWA NA LIVERPOOL, BARCELONA

KIUNGO wa Burussia Monchengladbach, Mahmoud Dahoud anaweza kujiita mwenye bahati baada ya timu vigogo Ulaya kuanza kumgombea.


Awali kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp alikuwa pekee katika kuisaka saini ya mchezaji huyo lakini sasa atalazimika kuchuana na FC Barcelona ya Hispania. 

No comments