KOCHA wa Liverpool, Jurgen Kloop ni kama ameona umhimu wa kuongeza nguvu katika idara ya ulinzi upande wa minda mlango.

Katika azma hiyo, ameweka nguvu katika kumwania mlinda mlango kinda anayekipiga katika kikosi cha timu ya Villareal, Anderes Fernandez.

Klopp ameweka mezani dau la pauni 22 mil kwa ajili ya kumwita ndani ya kikosi cha majogoo wa jiji la Liverpool.

Fernandez mwenye umri wa miaka 30, amekuwa katika kiwango cha uimara wa kumshawishi bosi huyo wa Anflied.


Amekuwa muhimili mkubwa katika kikosi cha timu ya Villareal na ametajwa katika orodha ya walinda mlinda bora nchini Ujerumani na sifa hizo ndizo zilizomfanya Klppp kumtupia jicho tangu alipotua kuinoa Liverpool.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac