Habari

KLOPP ASEMA HANA ANACHOHOFIA KUHUSU MANCHESTER UNITED

on

Wakati kesho kukitarajiwa kupigwa bonge la mechi la Premier League baina ya mahasimu wa England Manchester United na Liverpool ndani ya Old Trafford, kocha Jurgen Klopp amesema hana hofu.

Kocha huyo wa Liverpool amesema hana anachohofia katika mchezo huo na kwamba anachohitaji ni kuwa na wachezaji wake 11 ndani ya dimba na kila jambo litakwenda poa.

Klopp amesema: “Najiamini kwa asilimia 100, tulikuwa na siku nne za kujipanga baada matokeo mabovu dhidi ya Southampton.

“Kwa upande wetu huwa inafurahisha kucheza mechi muhimu kama hii. Napenda na hivyo ndivyo soka inavyopaswa kuwa.”

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *