KLOPP ASEMA HANA MPANGO WA KUMUUZA SHEYI OJO KWA MKOPO

BOSI wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema hana mpango wa kumtoa kwa mkopo chipukizi wake, Sheyi Ojo. Newcastle wameonyesha nia ya kutaka kumsajili.

No comments