KLOPP ATHIBITISHA STURRIDGE HANA MAJERUHI YA KUTISHA

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema maumivu ya kifundo cha mguu aliyopata mchezaji wake, Daniel Sturridge katika mechi ya sare ya 2-2 dhidi ya Sunderland sio ya kutisha.

No comments