KLOPP ATOA ONYO KWA KLABU INAYOTAKA KUMIMINA MIL 60 KWA AJILI YA KUMNYAKUA PHILIPPE COUTINHO

BOSI wa Liverpool, Jurgen Klopp ameionya klabu inayotaka kumwaga pauni mil. 60 kwa ajili ya kumsajili kiungo Philippe Coutinho, 24.

No comments