KOCHA MOURINHO ASEMA MEMPHIS DEPAY HAYUKO KWENYE MIPANGO YAKE

KOCHA Jose Mourinho amesema mchezaji Memphis Depay hayuko kwenye mipango yake baada ya yeye mwenyewe kuomba kuondoka Old Trafford.

No comments