LEICESTER CITY MBIONI KUKAMILISHA MAZUNGUMZO NA GASTON RAMIREZ

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu England, Leicester City wanakamilisha mazungumzo ya kumsajili kiungo wa Middlesbrough na Uruguay, Gaston Ramirez.

No comments