MAMADOU SAKHO KUZIBA PENGO LA NAHODHA WA SOUTHAMPTON

KLABU ya Southampton iko tayari kumsajili mlinzi wa Liverpool, Mamadou Sakho, 26, baada ya nahodha wao Joe Fonte kuomba kuhama.

No comments