Habari

MAN UNITED, CHELSEA NA TOTTEN HAM ZAMPIGANIA MARCO REUS

on

MARCO Reus bado anaonekana
mtamu kwa klabu mbalimbali Ulaya hii ni kutokana na kuwepo kwa taarifa za
kiusajili kuwa vigogo wa England navyo vimeingia vitani kwa ajili ya usajili wa
kiangazi mwaka huu.
Man United Chelsea na Tottenham
Hot Spurs wamo katika vita ya kupigana vikumbo kumwania.
Nyota huyo raia wa Ujerumani
alizikosa fainali za Kombe la Dunia zilizofanyika nchini Brazil kutokana na kuwa
majeruhi na sasa yupo katika kiwango kizuri ndani ya Borrusia.
Lakini vigogo Man City, United na
Arsenal wametajwa katka vita ya kumwania straika huyo ambaye anawindwa pia na
vinara wa Bundelisliga na Bayern.
Daily Star Limelipoti pia taarifa
za Real Madrid kuingia vitani kwa ajili ya Reus lakini wameeleza pia ugumu kwa
mshambuliaji kinda wa Liverpool Rahhem Sterling.

Mwanandinga mwingine anayezitoa
udenda klabu kubwa Ulaya ni pamoja na Pierre Aubabiyang pia wa Borrusia
Dortmun.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *