MANCHESTER CITY YAMMEZEA MATE JACK WILSHERE

KLABU ya Manchester City imeonyesha kumtamani kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere.


Nyota huyo mwenye miaka 25 ana miezi 18 iliyobaki kwenye mkataba wake wa sasa akicheza kwa mkopo Bournemouth.

No comments