MANCHESTER CITY YAWANIA SAINI YA KIUNGO JULIAN WEIGL WA BORUSSIA DORTMUND

KLABU ya Manchester City ni miongoni mwa timu tatu kubwa zilizojitokeza kusaka saini ya kiungo wa kimataifa wa Borussia Dortmund, Julian Weigl, 21.

No comments