MANCHESTER UNITED YAPASAUA MAWIMBI, YAINYUKA HULL CITY 2-0 NA KUCHUNGULIA FAINALI YA EFL


MANCHESTER UNITED imetanguliza mguu mmoja kwenye fainali ya EFL baada ya kuinyuka Hull City 2-0 katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali.

Katika mchezo huo uliochezwa Old Trafford, Manchester United iliyopoteza nafasi nyingi ililazimika kusubiri hadi dakika ya 56 kupata bao lake la kwanza kupitia kwa Juan Mata.

Marouane Fellaini aliyeingia dakika ya 79  kuchukua nafasi ya Mata, akaipatia United bao la pili zikiwa zimesalia dakika tatu. Timu hizo zitarudiana Januari 26.

Manchester United (4-2-3-1): De Gea 6, Valencia 6.5, Jones 6.5, Smalling 6, Darmian 6.5, Herrera 6, Pogba 6.5, Mata 8 (Fellaini 79 6.5), Rooney 6 (Martial 59 6), Mkhitaryan 7 (Lingard 71 5.5), Rashford 6
Unused subs: Romero, Blind, Fosu-Mensah, Carrick
Goals: Mata 56, Fellaini 87

Hull (4-4-1-1): Jakupovic 7; Robertson 6, Maguire 7, Huddlestone 6, Tymon 6 (Weir 90); Snodgrass 6, Meyler 6.5, Mason 6.5, Henriksen (Hernandez 17), Clucas 6; Diomande 6 (Maloney 74)

No comments