MARSEILLE YAPELEKA POSA NYINGINE WEST HAM KWA AJILI YA "KUMCHUMBIA" DIMITRI PAYET

KLABU ya Marseille imtuma ofa nyingine ya pauni mil 26 kwa ajili ya kumsajili kiungo wa West Ham, Dimitri Payet.

No comments