MARY REMMY NJOKU ATIKISA WASANII WA KIKE KWA MKWANJA NOLLYWOOD

MWIGIZAJI Mary Remmy Njoku ndiye msanii anayeingiza fedha nyingi kwa sasa kati ya wasanii wa kike wa Nollywood, utajiri wake ukipanda kwa kasi na kufikia mil 380 hadi Desemba 2016.

Msanii huyo aliyezaliwa Machi 20, 1985, ametisha kwa utajiri lakini kutokana na ubora wa kazi zake aishangazwi kuona anapata mikataba mizuri ya kazi.

Amekuwa msanii anayeuvaa uhusika kiasi cha kujikusanyia mashabiki kila kukicha na sasa ni mmoja wa waigizaji vipenzi vya mashabiki ndani ya Nollywood.


Mtaalam huyo wa kompyuta kwa sasa anatesa na kazi kama “Sound of Love”, “” 

No comments