MIKEL OBI ASALENDA... akubali kwenda kujiunga na Valencia

KIUNGO wa Chelsea, John Mikel Obi, 29, ambaye hajapata nafasi ya kucheza msimu huu amekubali kwenda kujiunga na klabu ya Valencia ya Hispania.

No comments