MORGAN SCHNEIDERLIN AKABIDHIWA JEZI No. 2 EVERTON


Everton imekamilisha usajili wa pauni milioni 24 wa kiungo wa Manchester United Morgan Schneiderlin na amekabidhiwa jezi No 2.

Schneiderlin anaungana tena na kocha wake wa zamani Ronald Koeman aliyefanya nae kazi  katika klabu ya Southampton.No comments