MOURINHO ASEMA WAYNE ROONEY HATAENDA KUCHEZA LIGI YA CHINA HATA IWEJE

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amesema atamzuia nahodha wake, Wayne Rooney kwenda kucheza soka Ligi Kuu China iwapo mchezaji huyo ataona ana sababu ya kufanya hivyo.

No comments