MPACHIKA MABAO WA TIMU YA TAIFA ZIMBABWE AKUMBWA NA MAJERUHI YA NYONGA

ZIMBABWE imepata pigo kufuatia kuumia kwa mfungaji tegemeo wa kikosi hicho Knowledge Musona.

Musona alicheza kwa dakika 12 tu wakati timu hiyo ilipofungana mabao 2-2 na Algeria kwenye mechi ya Kundi D Jumapili iliyopita.


Daktari wa Zimbabwe, Nicholas Munyonga alisema kuwa Musona anakabiliwa na matatizo ya nyonga.

No comments