MSHAMBULIAJI MANOLO GABBLADINI WA NAPOLI AFUKUZIWA NA SOUTHAMPTON

KLABU ya Southampton imeanza mkakati wa kumnyatia mshambuliaji wa klabu ya Napoli, Manolo Gabbladini baada ya klabu hiyo ya Italia kushuka bei ya kumuuza hadi kufikia pauni mil 18.

No comments