NAHODHA MSTAAFU WA BRAZIL ATABIRI NEYMAR KUWAFUNIKA MESSI, RONALDO SIKU CHACHE ZIJAZO

NAHODHA wa zamani wa Brazil, Cafu amemtetea Neymar na kusema ni suala la muda tu limebaki kabla ya kuwafunika nyota wawili wanaotamba katika soka duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.

No comments