NANI ANAKWAMBIA YAMOTO WAMEKWISHA? WIKIENDI HII WAKO ULAYA …Sweden, Finland, Italia, Ujerumani kuwaka moto


YAMOTO Band wakiwa na nyimbo mpya kabisa Ijumaa hii wanatazamiwa kumwaga burudani kali ndani ya En Arena Globen katika mji wa Stockholm, nchini Sweden.

Bosi wa Mkubwa na Wanawe, Said Fellah ameiambia Saluti5 kuwa Jumamosi, Januari 28, watakuwa Tampere, Finland katika ukumbi wa Klub.

“Februari 25, mwaka huu watakuwa Ujerumani kwenye tamasha la aina yake,” alisema Fellah huku akiwataka mashabiki wa  Rome, Italia na Norway kukaa mkao wa kuwasubiri kwa hamu.

No comments