NEW VIDEO: HII NDIO ZAWADI YA VALENTINE KUTOKA KWA CHRISTIAN BELLA


Mfalme wa Masauti Christian Bella ameajiachia ngoma mpya mpya kabisa inayokwenda kwa jina “Ollah”.

Bella ameiambia Saluti5 kuwa wimbo huo  ni zawadi kwa mashabiki wake kwaajili ya ujio wa Siku ya Wapendanao (Valentine Day).

Itupie macho video ya wimbo huo wa “Ollah” ambao ndani yake Bella amemshirikisha msanii Khaligraph Jones kutoka Kenya.

No comments