OLIVIER GIROUD ASEMA YU MBIONI KUMALIZANA NA ARSENAL KUHUSU MKATABA MPYA

STRAIKA wa Arsenal, Olivier Giroud amesema yuko mbioni kumalizana na klabu yake kuhusu mkataba mpya. 

No comments