OSCAR AWASILI CHINA TAYARI KUITUMIKIA KLABU YAKE MPYA YA SHANGHAI SIPG

KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Oscar amewasili nchini China tayari kuanza kazi ya kuitumikia klabu yake mpya ya Shanghai SIPG.   

No comments