PAULO DYBALA ASEMA ANGEPENDA KUJIUNGA NA REAL MADRID KULIKO BARCELONA

STRAIKA wa Juventus raia wa Argentina, Paulo Dybala, 23, amesema angependa kujiunga na Real Madrid kuliko Barcelona.

No comments