PEP GUARDIOLA KUMLETA MTOTO WA MIAKA 13 MANCHESTER CITY

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola anapigania kuandika historia katika usajili wa Uingereza kwa kumsajili mlinzi kinda mwenye miaka 13.


Mlinzi huyo Finley Bums anayekipiga katika kikosi cha vijana cha timu ya Southend United, ametengewa wastani wa pauni 175,000 za uhamisho.

No comments