PHILLIPE COUTINHO ASEMA HANA MPANGO NA MKWANJA MNENE WA WACHINA

NYOTA wa Liverpool, Phillipe Coutinho amesema hana mpango na fedha nene za Ligi Kuu China, kadhalika hana dhamira ya kwenda kucheza Barcelona ya Hispania.

No comments