POCHETTINO HAAMINI KAMA ATASAJILI MCHEZAJI MPYA DIRISHA DOGO

KOCHA wa Tottenham, Mauricio Pochettino amesema anakiamini kikosi chake cha sasa na kwamba kuna asilimia chini ya moja kusajili mchezaji mpya wakati huu wa dirisha dogo la usajili.

No comments