POGBA AMTAKA ADNAN JANUZAJ KUREJEA OLD TRAFFORD BAADA YA MKATABA WAKE SUNDERLAND

PAUL Pogba amemtaka Adnan Januzaj, 21, kurudi tena kucheza uwanja wa Old Trafford mara mkataba wake wa kucheza kwa mkopo utakapomalizika Sunderland.

No comments